Kwa muda wote huu ambao Kampuni ya Thronebet imekuweko humu nchini, tovuti zao zimekuwa zikitumika kutoa ratiba ya michezo pekee.

Tofauti na kampuni zingine zinazopendwa na wengi, hawa hawapeani huduma za kubashiri mtandaoni. Kwa maneno mengine, tunakufahamisha ya kwamba Throne bet.com inatumia mbinu za zamani wakati sekta ya ubashiri ilikuwa ikiziduliwa.

thronebet

Kuna manufaa tele kwa wabashiri wote wa spoti wanaojiunga na hii kampuni hapa nchini ama kwingineko ulimwenguni. Kama ulikuwa na wazo la kubashiri michezo mtandaoni na labda haujaweza kupata kampuni ya kuaminika, hii hapa Throne bet tz; kampuni ambayo ni halali na yatekeleza wajibu wake kulingana na mapendekezo ya wateja.

Pamoja na hayo, shughuli zao zote zinatekelezwa moja kwa moja kupitia ofisi zao ambazo zinapatikana kwenye sehemu nyingi nchini. Iwapo unawazia maswala tofauti kuhusu mechi za Thronebet tz, promosheni na huduma nyengine yoyote iliyo katika koba lao, pitia hakiki hii ili kuyaelewa maswala yote muhimu.

Kandanda na Spoti Throne Bet

Ingawa ubashiri unatekelezwa kwa njia za kikale, tunao imani kwamba Throne bet online itazinduliwa hivi karibuni. Hii ni kulingana na habari waliyochapisha kwenye tovuti yao na katika mitandao tofauti ya kijamii wanayomiliki.

Labda unashangaa, iwapo hawakubalii watu kuweka dau mtandaoni, basi tovuti yao ni ya kazi gani? Katika tovuti yao ya betting utapata sasisho za michezo huku ratiba na jedwali za ligi za juu ulimwenguni zikipewa kipaumbele. Katika ukurasa huu, wateja wa Throne bet wanaletewa matekoe ya michezo yote, walioiashiria na ile hawakuongeza ndani ya mkeka wao.

Mchezo unaopewa kipau mbele katika jedwali la kampuni hii ni ule wa Kandanda. Mchezo huu pia kama utambulikavyo “mpira wa migu” unaeziwa na wachezaji wengi. Hila, kuna haina nyingi za michezo ya spoti na ifuatayo ni orodha kamili kwa mkutadha wa Thronebet sports:

 1. Mpira wa miguu ama waeza itwa Kandanda
 2. Mchezo wa rugby
 3. Tenisi
 4. Voliboli
 5. Mpira wa mkono
 6. Mchezo wa Magongo ama “Hockey” kwa kimombo
 7. Mchezo wa magongo unaochezewa kwenye barafu
 8. Baseball

Kama unavyoona, kuna haina nyingi za michezo ya spoti pale Thronebet, na cha kufuraisha zaidi ni kuwa, timu zilikatika kikapu chao sio chache.

Lazima utaipata mechi yako na pia chaguzi linaloweza kushinda kwa asilimia kubwa zaidi. Kwa vile umepata ufahamu huu sasa tuelekee kwenye kipengele cha kucheza, au jinsi ya kuutayarisha na kuuwekeza mkeka wako.

Bashiri matokeo ya spoti za Thronebet

Unapovinjari habari kuhusu Throne bet Tanzania, haja yako kubwa ni kuweza kutabiri jinsi matokeo ya timu fulani yatakuwa. Kwa kweli hili ndilo lengo kuu ambalo wateja wengi unuia kuboresha ujuzi kwalo lakini mara kwa mara wanafeli. Jambo la kina unalotakiwa kuhifadhi akilini wakati wowote unapobashiri spoti ni ya kwamba uzoefu na ustadi wako ni vigezo muhimu.

Bila mawili hayo, hautakuwa unawekeza, badala yake, utakuwa unabahatisha tu bila mtindo mwafaka ama ufahamu wowote wa kile unachokifanya. Lakini, hiyo hisikukatishe tamaa yako ya kubashiri na kupata faida kama ni mara yako ya kwanza kutembelea Thronebet kwani kuna rasilimali tele za kukusaidia kufanya maamuzi.

Mojawapo wa kurasa unazoweza pata msaada wa bashiri lako ni sehemu ya matokeo kwani historia kuhusu matekeo ya timu itakufaidi kujua tokeo lifuatalo lawezekana kuwa vipi. Ndiposa ubashiri vyema na upate nafasi kubwa zaidi ya kushinda, fuata hatua zifuatazo:

 1. Kwanza tembelea tovuti yao ya www.thronebet.com . Kukamilisha awamu hii unahitajika kutumia simu ya mkononi ama tarakilishi iliyo na muunganisho wa mtandao
 2. Katika ukurasa wa kwanza utaziona ratiba tofauti ya michezo ya siku, wiki na kadhalika.
 3. Bofya kitufe cha “download” ili uzipate ratiba zozote kulingana na mechi unayotaka kuwekezea.
 4. Sasa chambua kila mechi huku ukitilia maanani thamani yake katika tiketi yako
 5. Nenda upesi kwa ofisi ya kampuni ambako utapata agenti wao
 6. Lipa amana kwa wakala aliye mle dukani mwa Throne bet
 7. Tiketi yako itasajiliwa na utabaki kuzingoja timu ulizoeka kwenye mkeka wako zicheze

Kama dau lako litakuwa na matokeo sawa, malipo ya Throne bet yatafanywa papo hapo ofisini na waweza ekeza tena ama uende ukautumie ushindi wako jinsi utakavyo.

Pakua app ya Throne Bet Tanzania Online

Ingawa tunakubaliana na maoni ya kampuni zote halali ya kuwa rasharasha za hela zipo, mtazamo wetu ni kuwa, nyingi za pesa hizi zaelekea mifukoni mwa kampuni.

 thronebet app

Wateja wengi wanapoteza amana yao kila siku, hila, Thronebet tz hawana kosa lolote kufuatia hasara yako. Kama mbashiri mwenye maono, lazima utafute mbinu zitakazokuwezesha kutengeneza na kuekeza dau bila matatizo. Na hivo umuhimu wa Thronebet app unatujia hapa unapotamani kucheza bila programu kufeli ama kuliwa pesa sana unaponunua huduma za mtandao.

Kampuni hii haina programu ya wateja wanaotumia Android ama iOS. Kimsingi, hawana app yoyote na hilo si tatizo kwa kuwa hamna hitaji kubwa la kupakua programu kwa vile hakuna Thronebet online sports betting.

Lakini haufai kutatizika ama kukoseshwewa amani na ukosefu huu wa app kwani tovuti yao yafanya kazi itakikanavyo. Ukitemblea tovuti hii, utaweza kupakua ratiba za michezo kadha wa kadha. Kadha wa hizi ratiba (fixtures) ni kama zifuatazo:

 1. Complete fixture (Ratiba kamili)
 2. Visasisho vya kila siku (Daily update fixtures)
 3. Ratiba za muda mfupi (short fixtures)

Endelea kubet na Throne bet kupitia kwa ofisi zao huku tukingoja tovuti yao inayokuja hivi karibuni ambayo itakubali ubashiri wa mtandaoni kama walivyoahidi.

Bonasi za Throne Bet Tanzania

 thronebet bonasi

Huduma zao upande wa kupea wateja pesa za ziada hazijakuwa za kupendeza kwani kuna ofa moja tu inayopewa wabishiri wa mechi nyingi zaidi katika dau moja.

Ziada hii ya Throne bet tz yafahamika kama “accumulator bonus” na ina malipo yenye uwezo wa kufika asilimia 300 unapozidisha chaguzi zako. Tizama idadi ya mechi itakikanayo ili kupata asilia ipasayo ya bonasi:

Idadi ya mechi katika dau lakoAsilimia ya Thronebet bonus
1-925%
10-1130%
12-1340%
14-1650%
17-1960%
20-2270%
23-2490%
25-27110%
28-30150%
31-32180%
33-34210%
35-36240%
37-38270%
39-40300%

Kama wabishiri wenye ujuzi na uzoefu mkubwa, tunakusihi kamwe husiwe mchoyo. Husitake kushinda mamilioni baada ya bashiri moja iwapo si ofa kama ile ya jackpot kwani haitakuwa rahisi.

Ukitamani kupata kiwango cha juu kabisa cha bonasi hii, fikisha idadi ya chaguzi, alafu uhakikishe umeekeza pesa kidogo. Tunachojaribu kukueleza hapa ni ya kwamba, tumia kiasi kikubwa cha amana iwapo una imani na timu ulizochagua na ziwe chache. Hila, kama timu ni nyigi, tumia amana kidogo kadri ya uwezo wako.

Throne Bet Cash Back Bonus

Jinsi tulivyoeleza hapo awali, promosheni ya Thronebet ni moja tu na ni ile ya accumulator tuliyoghusia kwenye kipengele kilichopita. Labda baada ya kuzidua tovuti yao mpya wataleta ofa hii na zingine ambazo wateja wao hawapati fursa ya kufaidi kwa sasa.

Wasiliana na Throne Bet Contact

Wakala wa huduma za customer care wako tayari kukusuluhishia shida zako zote.

 thronebet contacts

Unaweza wapata mtandaoni, kupitia kwa mitandao ya kijamii ama katika ofisi zao. kwa ufupi, kipengele kifuatacho kimetaja njia tofauti za mawasiliano zinazofaa kukuunganisha na agenti wa Thronebet Tanzania:

 1. Tumia fomu yao ya mawasiliano
 2. Waandikie barua pepe na utume kwa thronebet.tz@gmail.com
 3. Tembelea tawi lao lolote hapa nchini ili upate msaada zaidi

Hitimisho

Kulingana na mapitio haya ya Throne bet tz, tunaiona kampuni hii kuwa na mienendo inayofaa huku wakishikilia sana mfumo wa hapo zamani kidogo wa kubet kwenye duka.

Ata hivyo, ushindani ulioko katika sekta ya ubashiri hapa nchini hauruhusu matumizi ya mbinu za kale. Kuhitimisha hakiki yetu, tungependa kutoa uamuzi kwamba hii ni kampuni ya kipekee inayotoa huduma za hali ya juu mno

Maswali

Jinsi ya kubashiri michezo katika kampuni ya Throne Bet?

 1. Pakua fixtures kwenye ukurusa wao wa mtandao
 2. Tayarisha mkeka wako ukitumia mbinu za uchambuzi zinazofaa
 3. Enda kwa duka lao
 4. Lipa amana unayotaka kuekeza
 5. Weka bet yako

Throne Bet ndio nini haswa?

Hii ni Kampuni ya ubashiri inayokuletea tovuti ya michezo ya kubahatisha

Jinsi ya kuongeza amana Throne Bet?

Fanya malipo katika duka lao