Bet365 ni kampuni ya kimataifa inayopatika takribani katika kila nchi ulimwenguni. Ukubwa wao na mkazo wa upewo wao haujadhuru kiwago cha ubora na hivyo kila mtanzania ana fursa ya kuwekeza dau na kampuni hii. Kama wewe ni mpenzi wa soka, utapata matangazo mengi ya Bet365 tz kwenye jukwaa za mipira na katika televisheni.

Hawajakuwa na kasoro yoyote kwa muda sasa, na kila sasisho la mitambo yao limekuwa likinuiwa ili kuboresha hali ya rasilimali zao. Wanafanya kazi kwa ukaribu na wateja ili kuhakikisha kuwa kila mtu amepata wakati husio wa kutatiza katika harakati za kuekeza hela zao. Ili kujua kuwa Bet365 wamepea wateja kipau mbele, pitia ukurasa wao wa ubashiri na utaona sehemu za usalama na usaidizi kwa wateja walioingiwa na uraibu wa kubet.

bet365

Ata hivyo, umaarufu wa kampuni haujakuwa wa kusisimua hapa nchini na Africa yote kwa ujumla. Labda hilo lina sababishwa na kanuni zao kali za kuthibitisha akaunti kabla mteja aruhusiwe kufanya malipo na kucheza. Iwapo masharti ya huduma za Bet 365 Tanzania yatakuzidi, waweza enda kwenye kampuni zingine huru kama vile 1xbet Tanzania, na upate huduma bora zaidi.

Sehemu za hakiki hii ya bet365 tz

 1. Muhtasari wa kampuni
 2. Faida na hasara kwa wachezaji
 3. Bonasi na promosheni
 4. Mbinu za kufanya malipo
 5. Vipengele vya bet 365 vyenye sifa kuu
 6. Michezo ya spoti na ubora wa kuicheza katika kampuni hii hasa
 7. Chaguzi tofauti za kuongezea katika dau lako
 8. Maswala ya leseni, uhalali na usalama kwa wateja
 9. Jinsi ya kuwasiliana na wahudumu wao
 10. Kucheza kupitia kwa Bet365 Mobile

Utangulizi wa Bet365

Tunapokukaribisha na kukuhimiza ujiunge na kampuni hii ya Bet365 tz.com, wao wanakukaribisha vile vile kwa ziada ya 15% inayotolewa kama free bet. Kupitia kwa ofa hii ya ukaribisho, mteja anaweza pata hadi $60, hela ambazo zinafaa kutumika kuekeza pekee.

 utangulizi wa bet365

Mbali na hayo, unafaa kujua operesheni za kimsingi, uelewe ubora wake na umuhimu wa kila bidhaa iliyo katika tovuti yao www bet365 com.tz. Kila kipengele kilicho pale mkondoni kwenye platifomu za kampuni hii kina matumizi yake, na haya yanajumuishwa ili kurahisisha kazi kwa wateja.

Nguvu na udhaifu wa Bet365

Hakuna kampuni iliyo na huduma barabara kwa asilimia ya mia kwa mia. Ndio, wako na faida nyingi ambazo zinashawishi wateja kujiunga, lakini kuna yale makosa tungependa kukosoa hapa. Cha muhimu ni wateja wa 365 bet kujua kuwa, faida ni nyingi huku matatizo yakiwa machache mno. Acha tunakili maswala haya katika orodha ndiposa uelewe kwa haraka:

Faida

 • Wahudumu wao wana utaalamu wa kutosha na wanajua kufanya maongezi vizuri ili kusuluhisha madai yoyote

 • Tovuti yao ya simu inasaidia sana wachezaji kubashiri kwa uhuru mwingi​​​​​​​

 • Programu ya Bet365 Tanzania kwenye simu inapatikana virahisi na inafanya shughuli za ubashiri kuwa za kufurahisha

 • Kipengele chao cha ofa na bonasi hakielezeki kwa wingi na thamani ya promosheni zilizoko kule

 • Kuna mbinu nyingi za kufanya malipo zikiwemo ata zile za kimataifa

 • Michezo mingi kwa kila jamii ya matukio ya kubashiri

Hasara

 • Wateja hawana hiari ila kutumia kimombo kwa sababu chaguo la Kiswahili haliko

 • Njia za malipo kutumia simu ya mkoni hazikubaliwi

 • Shughuli zao za kukagua maelezo ya akaunti zinachukua wakati mwingi sana

  Bonasi na promosheni za Bet365 Tanzania

  Kampuni zinazoleta ushindani dhidi ya Bet365 offer ni chache hapa nchini na ulimwenguni kote. Wamepamba sekta hii ya ofa vilivyo kwa kuleta aina tofauti na pia kwa kuhakikisha kuwa ziada inayolipwa ni kubwa. Masharti yake si ya kutatiza ata kamwe na kila mteja anaweza nyakua ofa moja au zaidi kila siku.

   bonasi bet365

  Lakini, unapojizatiti kupata ziada, lazima uwe umejiandikisha na Bet365 tz na kuanza kucheza. Hizi hapa promosheni zilizo na thamani ya juu kabisa:

  1. Pata 70% katika Bet365 Tennis accumulator bonus
  2. Lipwa ata kabla ya mechi kukamilika iwapo chaguo lako la kandanda linaongoza kwa magoli mawili
  3. Pata malipo ya mapema kama chaguo lako la MBA laongoza kwa raundi tano au zaidi
  4. Lipwa 15% ya ziada kwa malipo unayofanya mara ya kwanza
  5. 70% parlay Bet365 bonus
  6. 70% kwa ligi za ulaya za michezo ya kikapu ya wanaume
  7. Rudishiwa kiasi cha dau kama mechi itatokea sare

  Kwa vile ofa hizi ni nyingi na orodha yake ni ndefu sana, atutazifafanua kwa undani, lakini tutazitaja tu kwa sasa. Kwa hivyo chukua hatua ya kutembelea ukurasa wao kwa kubofya “Bet365 bonuses and promotions” ili kutambua zile zitakupendeza .

  Malipo ya Bet365

  Kwa muda sasa, wateja wamekuwa wakitatizika kutoa na kuweka hela kwenye akaunti zao za kubashiri. Chazo kikuu cha mengi ya matatizo haya ni kukosa kuthibitisha akaunti. Ukaguzi mkali unafanywa na karibu kila kampuni mkondoni kutokana na sheria zilizopitishwa ili kuzuia watu wanaotakatisha pesa haramu kupitia kwa tovuti za kubet. Bet 365 verification ni ule uchunguzi wa kujua kama mteja amepeana maelezo ya kweli.

   malipo ya bet365

  Akaunti yako ikithibitishwa, sasa waeza tumia mbinu zifuatazo kufanya malipo. Benki zinazotumika ili kuongeza pesa kwenye akaunti ya Bet365:

  1. Visa card
  2. MasterCard
  3. PaySafeCard
  4. Astropay
  5. Bank wire

  Ili kutoa pesa, utahitaji kutumia mbinu uliyotumia kuongeza pesa ama kama unataka kubadili benki uwapashe wahudumu wa Bet265 support.

  Michezo ya Spoti katika Bet365

  Sasa ni wakati wa kulichambua soko hili maalum na lenye sifa nyingi baina ya wataalamu wa kubashiri michezo mtandaoni. Matukio makuu na yenye ufuasi mkubwa zaidi yanapatikana katika Bet365 soccer ama waeza liita soko la mpira wa miguu. Ukitazama vyema utagudua kwamba, idadi kubwa ya ofa imeunganishwa na spoti.

   spoti katika bet365

  Kwa hivyo hatuna shaka na oni hilo la kuwa hili ndilo soko kuu zaidi. Aina ya michezo utakayopata matukio yake kwenye kampuni ya 365bet ni kama vile:

  1. Mpira wa miguu wa Amerika
  2. Soka
  3. Mpira wa kikapu
  4. Mpira wa neti
  5. Tenisi
  6. Table Tenisi
  7. Baseball
  8. Mpira wa mikono
  9. Mpira wa magongo
  10. Kriketi
  11. Mbio za baiskeli
  12. Mbio za farasi
  13. Aussie rules
  14. Snooker
  15. Grehounds
  16. Mpira wa wavu
  17. Riadha

  Tembelea tovuti yao kwenye ukurasa wa kwanza ndiposa uone orodha kamili ya matukio ya spoti katika Bet365 Tanzania.

  Aina za bet katika Bet365

  Kulingana na ustadi, ubunifu, na lengo la mchezaji, chaguo zinatarajiwa kuwa tofauti. Mambo yenye uzito yanayofaa kuangaliwa ni asilimia ya hatari, uwezo wa ushindi na kanuni za Bet 365 tz. Kuna aina nyingi za chaguzi katika kila soko iwe kasino ama spoti. Jambo la kufurahisha ni kuwa kiwango cha malipo kiko juu sana kwani michezo ya kamare kwa mfano inapeana hadi 98% ya kiasi cha dau lako.

  Upande wa spoti, kiasi cha faida kinategemea na idadi ya chaguzi kwani uzindipo kuongezea bashiri ndivyo ushindi unaendelea kukua. Katika kifungu hiki, tunachambua Bet365 bet types za spoti na hasa katika kandanda. Hizi hapa aina za bets unazoweza ongezea katika dau lako:

  1. Chaguzi la kawaida: Linajumuisha chaguo kuu kama timu iliyo nyumbani ama ugenini kushinda ama mechi iishe sare
  2. Dau la magoli: bashiri idadi ya magoli, na kama yatafikia uwiano fulani
  3. Mkeka wa kadi: Hapa unafaa kubashiri kama kutakuwa na kadi ile ya njano ama nyekundu
  4. Bashiri matokeo ya kipindi cha kwanza

  Leseni na usalama katika Bet365

  Bet365 inamilikiwa na kampuni inayojulikana kama Hillside ENC, ambayo imepewa leseni na tume ya michezo ya kubahatisha ya Malta. Ili kuhakikisha usalama wa mamilioni ya wateja wao, itifaki za kisasa za usalama zimetumika mkondoni.

  Kwa hivyo, wachezaji hawana la kuhofia kwani pesa zao na maelezo yao ya kibinafsi yapo salama. Hapa nchini, kampuni hii imekubaliwa kutoa huduma zake za ubashiri, ila hakuna makubaliano rasmi kati ya Bet365 na bodi yetu inayofuatilia ubora wa kampuni za ubashiri.

  Wasiliana na agenti wa Bet365

  Uwezo wa 365Bet Tanzania kukuza ushindani katika sekta ya michezo nchini umezuiwa sana kutoka na kukosekana kwa ofisi zao.

   wasiliana na agenti wa bet365

  Ili kupata usaidizi kutoka kwa wataalamu wa Bet365, unafaamishwa utumie njia za maongezi zifuatazo:

  1. Live chat
  2. Piga simu kwa +44 1782 684757
  3. Tuma barua pepe kwa support-eng@customerservices365.com

  Programu ya simu ya Bet365

  Bet365 .com wanaleta program tofauti zenye upatanifu na simu mfumo wa Android na pia ule wa iOS. Teknolojia iliyotumika ni ya hali ya juu. Ukitazama uzoefu wa kampuni hii katika operesheni za kutoa huduma za kubet, utatarajia mifumo yote Bet365 mobile ifanye kazi itakikanavyo.

  Kuweka mikeka ukitumia programu ya simu ni njia moja ya kurahisisha kazi yako. Utakuwa unaeza fungua akaunti yako ukiwa popote wakati wowote ule. Pili, faida zote za kubashiria ukitumia platifomu kama vile Bet365 mobile app zinakujia moja kwa moja. Fanya upesi upate bidhaa hii kwa kutumia hatua zifuatazo:

  1. Ukiwa kwenye simu yako aina ya SmartPhone, bofya “Bet365 apk
  2. Utaona maelezo yanayokuuliza kama unataka kuipakua programu
  3. Fuata maagizo kulingana na mfumo wa simu yako (inategemea kama ni Android ama iOS)
  4. Sanikisha app hii na uanze kucheza

  Hitimisho la uchambuzi huu wa Bet365

  Kwa hivyo, ni kipi hasa ambacho unafaa kuzingatia?

  Sehemu ya kwanza ni ile ya Bet365 bonuses. Kuna ukurasa mzima uliojaa ofa mbalimbali na kila mteja, awe mpya ama aliyejiunga tayari, ana haki ya kuzipata ziada hizi. Tutaghusia zaidi kuhusu promosheni zote, na tunakili sheria za kampuni unazofaa kutilia maanani iwapo unataka ziada yoyote. Lingine la kuzingatia ni wingi wa matukio na utofauti wa aina ya masoko.

  Tulipata kuwa bet365 wana masoko matatu makuu na haya ni; spoti, kasino na michezo bunifu. Ingawa tutachambua baadhi ya masoko haya katika kipengele kingine, ni vyema tuwajulishe kuwa ligi ya kielektroniki ya Bet 365 Esports inapatikana kwa sasa katika tovuti na programu zao za ubashiri.

  Maswali

  Naeza tumia njia gani kutoa pesa kutoka kwa akaunti yangu ya bet365?

  Tumia moja kati ya benki tulizotaja awali na ufuate maelezo tuliyopeana kwenye sehemu ya malipo

  Inachukua muda kiasi kipi kabla ya kampuni ya bet365 kushughulikia ombi la kutoa pesa?

  Masaa ishirini na manne

  Naeza tumia bonasi yangu ya bet365 kwa njia gani?

  Itumie kuweka mikeka

  Naeza funga akaunti ya bet365?

  Wasiliana na wahudumu wao ili wakupe maagizo

  Jinsi ya kuekeza tikiti yenye chaguzi zaidi moja ndani ya bet365?

  Bofya chaguo zako na uende kuuweka mkeka kwenye tikiti ambako kila chaguo limeongezwa

  Je! Bet365 ina kitambulisho cha kugusa?

  Hii ni mbinu moja kati ya zingine wanazotumia ili kuhimarisha usalama

  Naeza badili chaguo za bet niliyoekeza tayari?

  Hapana haikubaliki