Kwa wapenzi wote wa michezo ya kubashiri mitandaoni, leo twawaletea kampuni maridadi ambayo ni PlayMaster Tanzania. Hii ni kampuni ya kipekee kwenye nyanja za ubashiri wa michezo tofauti, iwe ni kandanda, voliboli, kasino, ama ligi halisi, wanakupanga sawasawa. Baada ya kuendeleza utafiti wa kina kuhusu Pmbet Tanzania, wataalamu wetu waliamua kukuletea uhondo kamili. Iwapo kuna jambo lolote haueleweli baada ya kuisoma hakiki hii, unaweza wasiliana nasi kupitia sehemu ya maoni iliyoko pale chini.

Kipengele kinachosisimua zaidi katika Pm bet tz ni bonasi ya ukaribisho. Kila mteja anayejiunga nao kwa mara kwanza anazawadiwa Tsh50. Sheria za kuzikwamua hela hizi haziezi tatiza mchezaji yeyote kwa sababu unahitajika kujisajili pekee na hivyo unapewa free bet yako mara moja.

pmbet

Katikata uchambuzi huu wa pmbet tz, wataalamu wetu wanafafanua maswala yafuatayo:

 1. Jinsi ya kubashiri michezo ukitumia rununu
 2. Michezo husika katika spoti
 3. Namna ya kucheza mechi zinazoendelea live
 4. Zawadi zinazotunukiwa wateja wa Playmaster Tanzania
 5. Pmbet free bets
 6. Kuondoa bets zilizopitishwa na kampuni
 7. Jinsi ya kujiunga na pmbet
 8. Kuongeza hakiba katika akaunti yako ya pmbet tz
 9. Njia za mawasiliano utakapo kuulizia maswala yoyote kutoka kwa maafisa wa kampuni

Bashiri michezo ya PMbet Tanzania kupitia simu ya mkononi

Twawaenzi vilivyo wahadisi katika kampuni hii kutokana na umakini wao husiopingika kwenye promosheni ya pmbet mobile betting. Kutokana na mavumbuzi mapya ya kiteknolojia, wanabiashara wana wakati mwema zaidi wa kubashiri huku wakiwa katika harakati za kuelewa namna rasilimali tofauti zafaa kutumika.

pmbet Tanzania simu ya mkononi

Ndiposa uweze kutumia simu ya mkononi, utahitaji kupakua programu ya Pmbet Tanzania. Zifuatazo ni hatua zitakazo wezesha wateja wapya na waliojiuga tayari kupata hii programu:

 1. Enda moja kwa moja hadi kwenye tovuti ya kampuni
 2. Tafatu sehemu iliyo na kiunga cha kupakua hii programu
 3. Kukwepa hatua ya kwanza na ya pili, bofya Pmbet app Tanzania
 4. Baada ya kuipata faili, enda kwa mipangilio ya rununu yako
 5. Shinikiza kifungo cha kuruhusu programu zisizo toka kwa Google Play Store
 6. Sasa nenda kwa kivinjari sehemu ya kupakua
 7. Bonyeza apk uliyopakuwa tayari
 8. Katika ukurusa unaofuata kubali kushinikiza

Ukifuata hatua hizo nane, utapata programu ya Playmaster online betting kwenye simu yako ndani ya sekunde chache tu. Husikose kujichukulia bidhaa hii ya kipekee manake itakusaidia sana katika harakati za kurahisisha uchambuzi na ubashiri wako. Kunayo manufaa tele yanayonuiwa kupatikana na wateja waliopakua mobile Playmaster betting app pekee na baadhi yake ni;

 1. Matumizi mazuri ya hela za mtandao. Utagharamika kiasi kidogo cha pesa wakati wa kupakua na hata unapotumia programu hii
 2. Wachezaji wanapata uwezo wa kufanya uteuzi wa haraka
 3. Pata rasilimali zote za kampuni hii ya ubashiri kwenye kiganja cha mikono yako

Pmbet Kandanda na michezo mingineo

Labda umekuwa ukitumahi kuendeleza shughuli zako kwa njia nafuu zaidi na bado haujapata kampuni bora. Sasa twakukaribisha humu ili uweze kubashiri bila tatizo lolote. Play Master tz, ni kampuni iliyo weka wachezaji mbele zaidi kupitia uzoefu wao wa kuleta mechi za kusisimua. Kapu lao halikosi bashiri moja hau mbili zilizo na uwezo mkubwa wa kuenda ipasavyo. Ilmradi umetengeneza akaunti katika tovuti yao, utaweza kutekeleza malengo yako kwa urahisi.

pmbet kandanda na michezo

Sio lazima uwe mjuzi wa mambo ya ubashiri kwa kina, enda tu pale pmbet.com, changanua mechi ukitumia mbinu za kawaida, na uwekeze bet yako. Katika orodha ifuatayo utapata haina mbalimbali ya michezo ya spoti unayoweza pata mle ndani ya play master betting site.

 1. Mpira wa miguu
 2. Mpira wa mkono
 3. Mpira wa kikapu
 4. Rugby
 5. Tenisi
 6. Mbio za farasi
 7. Bashiri siasa
 8. Michezo ya ndondi
 9. Futsal
 10. Aussie rules
 11. Soka
 12. Baseball
 13. Riadha
 14. Badminton
 15. Kriketi

Orodha iliyojumuishwa katika kipengele hiki sio kamili kwani kuna haina mingi ya michezo itakayokuburudisha vilivyo. Fanya hima ujiunge na Playmaster bet Tanzania kwa anjili ya kuwahi manufaa yatakayo hakikisha umepata pesa kwa urahisi bila kutoa ata tone la jasho.

Pmbet Live

Katika kifurishi chao cha michezo mbalimbali, ni kawaida kupata mechi zinazoendelea kila siku. Hili soko linapatikana kwa wachezaji wa kandanda, tenesi, mpira wa kibabu, na michezo mingineo. Kushiriki shughuli za live pmbet lazima uwe na uzoefu wa kutizama mechi ama kufuatilia matokeo yanayokujia moja kwa moja katika ukurasa husika.

pmbet live

Asilimia ya malipo iko imara huku thamani ya mkusanyiko wa mechi kadhaa ikikupa nafasi ya kushinda pesa zaidi. Kuekeza katika soko hili, unahitaji utembelee tovuti ya kampuni kupitia kwa moja ya hizi programu:

 1. Tovuti ya Kompyuta
 2. Tovuti ya simu
 3. Pakua programu ya ubashiri

Kila mechi inaletwa kwako bila matatizo na hivyo kazi iliyobaki ni yako kuchanganua historia ya vilabu tofauti na kufanya uchaguzi sahihi.

Bonasi za PMbet

Milango ya kukuza baki lako ipo tu katika promosheni mbalimbali za pmbet tz. Hizi zawadi zipo katika makundi tofauti ikiwepo ziada ya ukaribisho, kuekeza bila malipo, na zingine nyingi. Kama kawaida, kampuni hii haijaweka vikwanzo katika mchakato wa kuzipata zawadi hizi.

pmbet bonasi

Hata sheria zilizoko kulingana na muktadha wa kampuni na serikali kuu haziwezi zuia yeyote kunasa bonasi husika. Ukitembelea ukurasa wa pmbet bonuses, utapata zawadi zifuatanzo;

 1. Bonasi ya ukaribisho: Kuna hela za kutosha katika uekezaji wa bet ya kwanza. Baada ya kuunda akaunti yako, wanastahili kukutunuku Tsh.50 sare.
 2. Bonasi ya malipo ya kwanza: Pata 20% kwa kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa mara ya kwanza. Wateja wapya ndio wanakubaliwa kufuatilia ofa hii ambayo inahusisha hatua tatu pekee; kujisajili na Playmaster online, kufanya malipo ya kwanza, na mwishowe kupata 20% ya kiasi hicho
 3. 5% Pmbet bonus kila wakati unapoweka pesa.
 4. Mizunguko ya bure. Hii yatambulika kama ofa ya free spins
 5. Bonasi kwa wateja wanaobashiri matokeo ya mechi nyingi. Kila mechi iongezewapo, kiwango cha ziada chafaa kuongezeka pia
 6. Cash back 3%: Nafasi ya kipekee kwa wateja wa pmbet kupata asilimia tatu ya pesa waliyo betia. Ili kunasa fursa hii, watakiwa kuweka mkeka wa Tsh100,000 au zaidi.
 7. Pmbet free bet : Weka dau bila kutumia akiba yako. Kila dau unalo ekeza lafaa kuchangia kwa alama za bonasi. Ukifika kiwango cha chini zaidi kinachohitajika ili kuekeza, waweza changamkia free bet yako.

Ghairi mkeka pmbet

Kila mbashiri lazima akumbwe na mabadiliko ya maamuzi baada ya kuuweka mkeka. Kwa hivo, wakati mmoja hau mwingine utajipata katika hali ya kutaka kuondoa dau. Pmbet cancel bet ni kipengele muhimu sana katika maisha ya kawaida kwa wabashiri hodari. Lakini kuna sheria na masharti utahitaji kutilia maanani wakati unajaribu kughairi mkeka:

 1. Mechi zisiwe zimeanza
 2. Lazima dau liwe limefikisha mechi nne au zaidi

Ili kutengeneza ubashiri mwingine, utarudishiwa pesa zako kama units ili ugeuze maamuzi yako. Utakapo kubadili mechi zilizokuwa katika tiketi, nenda katika kipengele cha bet history, fungua tiketi, alafu chagua “cancel bet”.

Fungua akaunti ya PMbet Tanzania

fungua akaunti ya pmbet

Hapa tunakuletea muhtasari wa hatua utakazofuata ili kujisajili:

 1. Tembelea tovuti yao ukitumia simu ama kompyuta
 2. Tizama kitufe chenye jina “Register” na ukibofye
 3. Jaza fomu ya kujiunga
 4. Mwishowe wasilisha maelezo uliyopeana ili akaunti yako ifunguliwe

Amana ya PMbet

amana ya pmbet

Kuna njia tofauti zinazoaminika na kutumiwa na watanganyika wengi. Ili kuweka ama kutoa pesa katika akaunti yako ya Playmaster online, tumia benki zifuatazo:

 1. Vodacom Mpesa
 2. Halopesa
 3. Tigo Pesa
 4. Airtel Money
 5. Duka la Play Master bet

Wasiliana na agenti wa PMbet

 1. Live chat
 2. Barua pepe: support@pmbet.co.tz.

Maswali

Haina gani ya michezo iliyo katika tovuti ya pmbet?

Spoti, kasino na ligi halisi

Naezaje weka pesa katika akaunti yangu ya pmbet?

Tumia benki zilizo kwenye hakiki

Kuna njia gani za kutoa pesa pmbet?

Tumia mbinu uliyotumia kuweka hela