Ni wazo lipi lijalo kichwani husikiapo wahamasishaji wa Parimatch tz wakieleza namna wachezaji wao wanapata hela kwa wingi? Labda unapatwa na msisimko ama unaingiwa na fikra kwamba ukishajiunga na kampuni yao utatajirika mbio. Kwa kweli waweza bahatika mara kadhaa na kunyakua ushindi mkubwa kupitia Pari match jackpot.

Hila, wachambuzi wote wa dau walio na matumaini ya kuwa wabashiri kwa muda mrefu lazima waekeze pesa zao kwa hekima. Unatakiwa uzijue operesheni zote za parimatch betting Tanzania, na kukuza uzoefu wako wa kuweka mikeka. Katika pitio hili, tumewasilisha jumbe maalum kuhusu mbinu zilizo na umuhimu mkubwa kwa wachezaji.

parimatch

Sehemu tulizoghusia zinahusiana na mitindo ya kubashiri mtandaoni, matumizi ya rasilimali za kampuni, na muhtasari wa vipengele tofauti tofauti vya mitambo yao.

Hizi hapa sekta tulizoandikia kuhusiana na Parimatch Africa:

 1. Manufaa na hasara za kubashiri kupitia mitandao yao
 2. Tovuti ama violesura vingivyo vya kampuni
 3. Programu ya ubashiri ama ile inatambulika kama Parimatch app
 4. Njia ya kujiunga au kujiandikisha kama mchezaji
 5. Ziada na ofa zilizoko humu
 6. Michezo ya spoti, kamare na kasino
 7. Hatua za kuweka dau lako la parimatch
 8. Kuongeza akiba na kuutoa ushindi wako
 9. Kuwasiliana na wahudumu wa Parimatch tz

Manufaa na hasara katika parimatch bet tz

Kila kampuni ina upande mzuri na ule wenye udhaifu. Kwa hivyo hatuwezi chukulia pari match kuwa na upekee fulani huku mabaya yake yakiwa hayapo. Kwa ujumla, manufaa ya kucheza mechi zilizo kwenye jukwaa zao tofauti yanazidi hasara yake kwa uzito mkubwa. Na ni kwa sababu hiyo tunaweza ambia wafuazi wetu wote wajiunge na kuanza kubeti kwani hamna dalili yoyote ya kupitia magumu.

Parimatch Tanzania wana muda mrefu katika sekta ya kuleta huduma za ubashiri na wanaelewa matakwa ya wateja kwa upana. Sasa tuodhoreshe kila nufaa na udhaifu unaohusishwa na huduma za pari match tz.

Manufaa

 1. Wanapeana odds za juu zaidi kwa kila tukio ama chaguzi utakalo
 2. Idadi ya mechi ni kubwa huku matukio yakihusisha spoti, kasino na ligi halisi
 3. Mitambo yao ya kubashiria yafanya kazi kwa njia ifaayo
 4. Mpangilio wa tovuti ya Parimatch tz ni wa kupendeza na hivyo rahisi kwa matumizi ya haraka
 5. Wanakubali matumizi ya lugha ya Kiswahili ambayo ndiyo lugha yetu ya kitaifa
 6. Wanazo promosheni za kusisimua
 7. Ofa ya Tanzanite jackpot ni njia moja ya kupata mamilioni ya pesa bila kazi mingi
 8. Programu yao ya kubetia inarahisisha kazi zaidi

Hasara

 1. Hakuna Parimatch app ya simu haina ya iOS
 2. Kutoka kwenye sehemu moja kuenda nyingine ama ata kuingia katika kitengo chochote kama vile spoti, promosheni, na kadhalika ni tatizo kubwa

Violesura vya Parimatch

Katika kipengele hiki, tunakufahamisha kuhusu njia kadhaa unazoweza tumia ili kupata huduma za parimatch kwa haraka. Platifomu hizi zote zinaitajika ili kuweka dau, kuangalia mechi zilizo katika kapu lao la siku, kuchambua mechi, na kuendeleza operesheni za kifedha.

Ili kuweza kutembelea tovuti na programu yao, lazima utumie tarakilishi ama simu ya mkononi. Utakumbana na teknolojia ya kisasa katika kila kiolesura na huu hapa muhtasari wa kila platifomu:

 • Tovuti ya pari match bet

Ukiwa katika kivinjari chako, unaweza tafuta Parimatch co tz kupitia kwa komputa ama simu ya mkononi haina ya Smartphone. Bora kifaa cha mawasiliano unachotumia kina uwezo wa kukuunganisha na mtandao, hautahitaji lingine lolote. Ata hivyo, tovuti ya simu ipo imara zaidi kuliko ile ya tarakilishi.

tovuti ya parimatch

Toleo la simu lina mpangilio wa kufana, huku kuvinjari toka kipengele kimoja hadi kingine cha Parimatch betting kukiwa rahisi. Kulingana na mtazamo wa wataalamu wetu, toleo la tarakilishi halihamasishi ama kupea wachezaja ile hamu ya kucheza.

Hali ya graffiti na michoro si nzuri na hivyo yafanya wateja kuchoka haswa watazamapo tovuti hisiyo na uvutiaji wowote.

 • Mobile app

Parimatch betting app in programu ya kipekee ambayo imeundiwa watumiaji wa Android. Ata hivyo, wachezaji wanao nuhia kutumia simu za iOS wanataarifiwa kuwa programu yao ipo njiani. Kwa sasa tunaeza kubaliana kuwa programu hii imeundwa kutumia teknolojia ya kisasa. Ili kudhibitisha kwamba unaelewa umuhimu wa kupakua programu hii, manufaa yake ni kama vile:

 • Waweza kuwekeza hela zako kwa haraka
 • Utafaidi operesheni zote za Parimatch bet Tanzania kwenye kiganja chako
 • Wachezaji wanaweza nufaika kutokana na matumizi ya pesa kidogo

Sasa kazi kuu hapa ni kupakua parimatch mobile app ili kufaidi mazuri yake huku ukijitoa kwa shaka inayowapata wabashiri wanaotumia tovuti pekee. Hizi hapa hatua za Parimatch app tz download:

 • Ukiwa kwenye simu yako haina ya Android tembelea tovuti ya kampuni
 • Bofya kitufe cha menyu pale juu katika mkono wa kike
 • Teremka chini hadi uone chaguo la app na ubofye kitufe hicho
 • Mishowe finya “download” upande wa Parimatch android app

Jisajili Parimatch

jisajili parimatch

Ndiposa ufurahie huduma zao bila vizuizi, lazima ujiandikishe na hivyo hapa tunakuandalia mbinu utakayotumia kujiunga na Parimatch bet.

 1. Tembelea tovuti ya kampuni hapa
 2. Tafuta kitufe chenye maelezo “Jiunge” na ukibofye
 3. Sasa jaza maelezo yako taratibu ukihakikisha hayana makosa
 4. Mwishowe bofya “Jisajili” ambayo ni maelezo yaliyopo chini mwa ukurasa huu

Hamna la ziada kwa operesheni hii kwani sasa wafaa kuwa na akaunti yako. Pia utakuwa na kibali cha kutumia kila rasilimali iliyopo katika mitambo ya kampuni.

Ofa na odds za Parimatch Betting

Mwanzo tungependa ujue kuwa Parimatch odds zipo na kiwango cha wastani. Hii ni kumanisha kuwa, si kubwa wala sio ndogo vile. Ili kuzidisha kiasi cha ushindi wako, makinika kutafuta odds kubwa zaidi na zilizo sawa.

odds za parimatch

Hamna haja uhatarishe pesa yako kama hauna uhakika. Ili husipoteze pesa, nyakua ofa zote utakazoweza pale Parimatch tz kama tulivyoziodhoresha katika kifungu kifuatacho:

 1. Toto lottery
 2. Refund live casino
 3. Cashback in betgames
 4. Spin2win jackpot
 5. 100% parimatch welcome bonus

Michezo ya Parimatch Casino

Katika ukurasa wao wa kamare, utapata michezo haina ya slots, blackjack, roulette, baccarat, na poker pekee. Ata hivyo, kuna tukio nyingi na mchezaji yeyote maarufu katika sekta ya kasino anaweza pata aina tofauti za slots zitakazompendeza.

Michezo ya Spoti

 1. Football
 2. Basketball
 3. Tenisi
 4. Table tenisi
 5. UFC
 6. Handball
 7. Volleyball
 8. Boxing
 9. MMA
 10. Futsal
 11. Rugby
 12. Baseball
 13. Water polo
 14. Michezo ya magari

Kuweka mkeka wa Parimatch

Tumia hatua zifuatazo na ukiwa na tatizo lolote uwahusishe wahudumu wao kupitia kwa mbinu za mawasiliano tulizoeleza hapo chini.

 1. Elekea kwenye tovuti yao www Parimatch co.tz
 2. Tafuta mechi unazoweza bashiri kwa urahisi
 3. Bofya chaguzi zako
 4. Enda kwa sehemu ya tikiti na uweke kiwango cha pesa
 5. Mwishowe tuma ombi la kuweka dau

Mbinu za malipo

Ili kuongeza ama kutoa pesa, tumia benki zifuatazo:

 1. Vodacom Mpesa
 2. Tigo Pesa
 3. Airtel Money
 4. Halopesa

Wasiliana na Parimatch Tanzania

 1. Live chat
 2. Piga simu kwa 0800787878
 3. Email support.tz@parimatch.com

Maswali

Kiasi kipi cha mwisho naeza shinda pale parimatch?

Tsh15Million

Kuna program ya Parimatch Android?

Kunayo

Nikitoa pesa Parimatch, itachukuwa muda mrefu ombi kupitishwa?

Utangojea masaa ishirini na manne

Benki zipi zatumika kuongeza hakiba ya Parimatch?

Tumia zile tumetaja

Mbinu zipi za kuwaliana na Parimatch?

Tumia parimatch contacts tulizopeana awali