Unapochagua kampuni ya kucheza michezo ya ubasihiri, wafaa utizame hali ya spoti mwanzo. Kwa ujumla, hili ndilo soko kuu kwenye tovuti zote na hivyo hamna sababu ya kujisajili Mkekabet Tanzania iwapo huoni usawa katika ukurasa wao wa spoti.

Ili kuyafafanua maswala muhimu yanayohusiana na jumba hili la mambingwa, tunakuletea uchambuzi kamili wa mkekabet gsm sportsbook betting. Kama kawaida, hakuna mchambuzi yeyote wa maswala ya kandanda ama spoti ingine yoyote anayeweza kufaulu bila kuuwelewa undani wa kampuni.

mkekabet

Na hivyo, hivi hapa vipengele muhimu kuhusu Mkeka bet tz ambavyo lazima uzielewe vizuri:

 1. Namna ya kujisajili pale www.mkekabet.com
 2. Hatua za kuyafanya malipo ili uruhusiwe kucheza
 3. Ziada zinazopeana kwa wachezaji maalum wa mkekabet
 4. Mchakato wa kujiunga na programu ya Mkekabet online VIP
 5. Jinsi ya kushinda Michezo ya kubahatishi katika ligi halisi
 6. Programu ya Mkeka-bet
 7. Njia zilizokubaliwa kuwasiliana na kampuni kupitia

Jiunge na Mkeka bet tz

Ndiposa ukubaliwe kubashiri katika soko lolote iwepo kasino, spoti ama ligi halisi, watakiwa kujisajili kwanza. Hii ni operesheni hisiyohitaji utaalamu wowote kwani hatua zinazohitajika ni zile za kawaida tu. Lakini, tuliona ni vyema kupeana mwelekeo ufaao kwa sababu si kila mbashiri mpya ana ujuzi wa kujisajili kwa huduma za kimtandao.

mkekabet jiunge

Labda unao uzoefu wa kujiunga na kampuni nyingi za ubashiri, hila tungependa kukufahamisha kuwa utakapojisajili m keka bet, hutatamani kuenda kwingineko. Wanao mtindo wa kufana kutokana na umakini wao wakati wanapohudumia wateja. Tuende wepesi kwa kingele kifuatacho ili kujiunga;

 1. Mwanzo watakiwa kutembelea tovuti ya www mkekabet com
 2. Pili, elekea kwenye kifungo kilichoandikwa “sign up”
 3. Bofya kifungo kilichotajwa katika hatua ya pili hapo mbeleni
 4. Ukishaingia kwenye ukurasa ufuatao, jaza fomu ya kujiunga
 5. Mishowe bofya “Join Now”
 6. Akaunti yako ya Mkeka bet itaundwa hivi karibuni na utakuwa salama kucheza

Fanya malipo katika akaunti yako ya Mkekabet

Kabla ya kuidhinisha malipo, hakikisha ya kwamba umebofya kitufe kinachokukubalisha kushiriki katika programu yao ya wateja wapya. Ukitumia benki yako ya simu, unaweza kutoa na kuweka pesa katika kapu lako la Mkekabet tz bila shaka. Hili kuifanya opereshi hii kwa urahisi, tumia mojawapo wa njia hizi; mpesa, airtel money ama Tigo pesa

Kuna mbinu kabambe za kufanya malipo na hizi hapa ni hatua za kuongeza hakiba na kutoa mafanikio yako:

Amana ya pesa kwa Mkeka bet.com

 1. Ili kuenda kwa M-pesa/Tigopesa/Airtel Money menyu, piga *150*0#/*150*01#/*150*60# mtawaliwa
 2. Chagua “Pay bill”
 3. Eka nambari ya kampuni ambayo ni 238844
 4. Kwenye kingele kifuatacho hatua ya tatu, eka nambari ya kumbukumbu “MKEKA”
 5. Sasa taja kiwango cha pesa unachotaka kuongeza
 6. Weka nambari yako ya siri (PIN)
 7. Tuma ombi lako na ujumbe mfupi utakujia kwa wakati mfupi

Toa Pesa

 1. Ingia kwenye akaunti yako ya Mkekabet
 2. Ifikie sehemu ya wasifu wako (Profile)
 3. Chagua kutoa hela
 4. Taja kiwango utakacho. Lazima fedha hizi ziwe chini ya baki lako
 5. Tuma ombi

Mafao yaliyopo mle www Mkekabet

Kufanikisha biashara yako ya ubashiri ni wazo la kwanza linalopaswa kuwa kichwani. Hila malengo yako hayatafikiwa kwa wepesi husipo tilia maanani ofa za mkeka bet.

mkekabet mafao yaliyopo mle

Kwa hivo, jaribu kadri ya uwezo wako kupata zawadi moja au zaidi kati ya hizi;

 1. Mabao bet
 2. One out money back
 3. Cash out
 4. Power play bonus
 5. Mkekabet accumulator bonus
 6. Money back
 7. Weekly Prizes and Giveaways
 8. VIP

Pamoja na zawadi zilizotajwa, wachezaji mashuhuri wanapata fursa ya kunufaika zaidi kutokana na boosted odds, free bets and fursa nyengineo.

Mkekabet Virtual Games (ligi halisi)

Hamna soko la michezo ya kubahatisha katika tovuti ya Mkekabet tz

Programu ya Mkeka bet tz

Kupakua Mkekabet app hakukubaliwi kwa sasa

Customer Care

Kuwasiliana na wahudumu wa kampuni, hizi hapa mkekabet contacts utakazotumia;

 1. Live chat
 2. Piga simu kwa nambari: 0659 071070
 3. Andika barua pepe: customercare@raindigitaltz.com

Maswali

Mkekabet ni nini?

Kampuni ya ubashiri wa spoti

Kubashiri dau katika mkekabet?

Tumia simu ama tarakilishi kutembelea tovuti

Kuondoa mkeka wa mkekabet?

Enda katika historia ya bets, fungua tiketi, kisha ubofye “cancel bet”

Amana katika mkekabet?

Tumia mbinu tulizoelezea katika hakiki hii