Jiunge na mbet tz sasa ili upate fursa ya kushinda mamilioni ya pesa zilizoletwa kwenye ofa zao tofauti tofauti. Kufanya uchambuzi na kuweka dau ni kazi rahisi, lakini nao kushinda ni kazi ngumu kwani si rahisi kupata matokeo sawa mfululizo.

Kampuni hii inaletea wachezaji wote wa michezo ya kubashiri huduma bora katika vipengele kama vile vya; kuweka na kutoa pesa, kujiunga na kampuni na kufanya operesheni zote muhimu, kuwasiliana na wahudumu wa kampuni wakati kuna matatizo na pia za kuchambua matukio mbalimbali.

Kila kitu pale m bet kiko salama na wachezaji wanafaidi rasilimali chungu zima huku usalama wa maelezo yao ukihakikishwa kwa dhati.

mbet

Anza shughuli zako za kucheza michezo ya spoti na pia kubahatisha uwezekano wako wa kunyakua m bet Tanzania online jackpot leo. Kuongezea, wateja wanapata ziada si haba huku wakizawadiwa kwa kila dau tano ama shilingi elfu tano unazotumia katika shughuli hii ya ubashiri. Kila hatua muhimu unayotakikana kujua imefafanuliwa vilivyo kwenye hakiki hii. Kwa hivyo tunakusihi uendelee kusonga nasi ili tukupe habari zote za kimsingi kuhusiana na operesheni za mbet tz.

Sehemu tulizoghusia katika pitio hili la mbet Tanzania

Tokea Tanzania had nchi jirani ya kenya, mbet tz wamekuwa na umaarufu mkubwa huku idadi ya wateja wao waaminifu ikiongezeka mara dufu. Wanatoa huduma zao chini ya bodi ya maswala ya ubashiri hapa nchini na hivyo hii ni kampuni halali na yenye kuaminika.

Ili kuthibisha kuwa M-Bet ni kampuni hisiyo na kasoro ata kidogo, tulitilia maanani huduma zao muhimu kama vile usaidizi kwa wateja, operesheni zao za malipo, masoko na ubora wa teknolojia katika tovuti na programu zao za upakuzi. Huku tukizingatia nia yetu ya kuhakikisha wateja wanapata wakati husio mgumu wanapocheza na kampuni hii ya kuaminika tumechambua sehemu zifuatazo ambazo ni za kimsingi:

 1. Vipengele vya tovuti ya M=Bet
 2. Bonasi na promosheni kwa wateja wa kampuni hii
 3. Njia za kujiandikisha au kujiunga na kampuni
 4. Mbinu za malipo
 5. Kubashiri kutumia Mbet app na huduma zao za simu kwa ujumla
 6. Mifumo na mipangilio ya soko lao la mpira wa minguu/ Kandanda
 7. Kuweka dau za moja kwa moja kwenye soko la Mbet tz live betting

Vipengele vya tovuti ya MBet

Mwanzo tungependa uelewe kuwa M bet Tanzania ni kampuni inayotoa huduma za spoti pekee. Kuongezea, soko ni moja na linahusiana na maswala ya kandanda. Kwa hivyo kila kipengele cha tovuti yao kina rasilimali muhimu za kusaidia wabashiri wa soka.

mbet tovuti

Kutokana na hilo, wachezaji wengi waliojiunga na kampuni hii ya Mbet tz ni wapenzi wa mpira wa miguu na wanaweza bashiri kabla mechi haijaanza na pia moja kwa moja ata kama tukio linaendelea. Uendapo pale www m bet utapata sehemu mbalimbali na ni kama zilivyoorodheshwa hapa chini:

 1. Sehemu ya kufanya bashiri za michezo. Hapa chaguzi ni nyingi mno na kuna aina tofauti tofauti za bashiri unazoweza tumia kupata faida kutoka kwa dau lako.
 2. Sajiri. Kama ilivyoelezwa pale tovutini mwao, hii ni ile sehemu ya kujiandikisha kwa wateja wapya.
 3. Weka pesa/Toa pesa. Nayo hii ndiyo sehemu itakayokuelekeza kuhusu jinsi ya kufanya malipo ya kutoa ama ya kuongeza hela kwenye pochi lako la Mbet Tanzania
 4. Mawasiliano. Hivi ni vitufe maalum vya mbinu kadhaa wa kadha zinazotumika kuwasiliana na agenti wa kampuni.
 5. Programu mpya. Tumia maelezo haya ili kupakua mbet online app na kufaidi matumizi yake wakati unafanya ubashiri
 6. Sehemu ya ofa. Kuna bonasi moja maalum inayotumika kuzawadi wateja wao waaminifu.
 7. Kipengele cha kubashiri ukitumia simu. Kama ijulikanavyo, mbet tz.com mobile betting kwa lugha ya kimombo, hii ni shughuli inayohusiana na kubashiri ukitumia tovuti ya simu ama ile programu yao ya kupakua

Kuna vipengele vingi huku vingine ambavyo havijatajwa kwenye sehemu hii vikiwa vya; sheria na kanuni za kampuni, kulipia tiketi kwa pochi, kuhusu m bet co tz, na vinginevyo. Tembelea tovuti ya kampuni ama uipakue programu yao ili upate picha halisi ya rasilimali zao.

Ofa na promosheni za MBet Tanzania

Tujapo kwa maswala ya bonasi, swali la kama ni muhimu halipo ila wasiwasi rasmi unafaa kuwa kwa jinsi ya kuzipata ofa zao. Mwanzo, wafaa ujikakamue vilivyo kuzipata promosheni na bonasi zozote zinazokujia toka kwa Mbet ama kampuni ingine yoyote ile. Hiyo ni kwa sababu ofa hizi zinafungua milango yako ya kushinda pesa ata bila kufanya malipo.

mbet promosheni

Kwa mfano, upatapo ofa yao ya dau tano za sare ama ile ya Tsh500 waweza makinika na uhakikishe dau zote unazoweka kutumia ofa hizi ni za kutegemewa na zinazoweza leta ushindi mkubwa. Ofa ya M bet Tanzania ni moja na inatolewa kwa wateja wapya na wale wa kucheza mara kwa mara. Tumia hatua zifuatazo kuipata bonasi yako upesi:

 1. Jiunge na kampuni
 2. Ingia kwenye akaunti yako
 3. Cheza tiketi tano ukiwekeza Tsh5000 kwa ujumla kama kiasi chako cha dau
 4. Utapata Tsh500 pesa taslimu za bonasi

Ofa hii ya kupendeza haina kanuni zozote na hivyo itakuwa rahisi sana kucheza. La muhimu ni kujiunga tu na M bet tz alafu ufuate maagizo tuliyopeana kwenye hatua za kuipata bonasi hii kwa namna laini.

Jinsi ya kujisajili na Mbet Tanzania

Ili ukubaliwe kuwa mteja wa kampuni ya Mbet tz lazima ufuate vigezo na masharti ya kampuni vizuri. Kuna njia mbili za kutumia unapojiandikisha, moja ikiwa ile ya programu yao ya simu na ya pili ikiwa ni tovuti aidha ya simu ama ya kompyuta.

mbet kujisajili

Kuna faida kemkem za kujiunga na kampuni hii na hizo ni kama vile:

 1. Odds bora na za juu zaidi. Thamani ya mbet odds hadi kwa ubashiri wa moja kwa moja ipo juu
 2. Malipo ya haraka. Ufanyapo malipo ya kuongeza ama kutoa pesa, ombi lako linashughulikiwa haraka iwezekanavyo
 3. Matumizi ya chini ya data. Hasa wakatu unatumia M bet online app ama tovuti yao toleo la lite
 4. Utacheza perfect 12 na masoko mengine mengi

Ingawa hatua hizi zinaonekana kuwa rahisi, zaweza kuwa tatizo kwa wateja wapya kwenye maswala ya kujiandikisha na platifomu za ubashiri kwa jumla. Ata wateja wenye uzoefu katika maswala haya wanaweza jipata taabani wakosapo kufuata sheria na kanuni za kujiandikisha vizuri.

Kigezo kikuu unachostahili kutilia maanani wakati unajisajili ni kuwa maelezo yako lazima yawe ya kweli. Hizi hapa hatua za kufungua akaunti mpya ya Mbet tz.com:

 1. Enda kwenye tovuti ya kampuni ama ufungue programu yao ya simu
 2. Hata iwe umetumia njia gani, unafaa kuona maelezo ya kujisajili kwenye ukurasa wa mbele
 3. Bofya kitufe cha kujiunga
 4. Fomu itakayotokea baada ya hatua ya tatu hapo awali itahitaji ujaze maelezo yako
 5. Peana maelezo hayo na uhakikishe nambari unayotumia ina benki ya simu kwa sababu hiyo ndiyo itakuwa mbinu yako pekee ya kufanyia malipo
 6. Mwishowe tuma ombi la kusajiliwa kwa kubofya kitufe chenye maelezo “Register”

Njia za kuweka pesa

Hakuna operesheni muhimu kama ya kuongeza na kutoa hela. Hii ni kwa sababu shughuli zako kwenye mitambo ya Mbet Tanzania zafaa kuwa za biashara pekee. Kwa hivyo ni lazima ujue mbinu ama benki unazokubaliwa kutumia wakati wa kufanya malipo ya kuongezea hela kwenye pochi lako.

mbet kuweka pesa

Kabla ya kuziorodhesha benki hizo, tutazame hatua za kucheza kupitia pochi lako:

 1. Nenda kwenye kitufe cha kujisajiri m_bet tz na utengeneze akaunti mpya
 2. Elekea kwenye sehemu ya kuongeza akiba na ujaze kiasi cha hela ambazo ungependa kutuma
 3. Fuata maagizo
 4. Mwishowe tuma ombi.

Hatua hizo zitakuwezesha kuongeza akiba kwenye akaunti yako moja kwa moja bile kutatizika na upigaji wa nambari fupi. Mbinu rasmi za malipo zilizokubaliwa na kampuni ya M-Bet tz ni kama zifuatavyo:

 1. Vodacom Mobile Money
 2. Tigo Mobile Money
 3. Airtel Mobile Money
 4. Halotel Money

Hatua za kutoa pesa kutoka kwenye akaunti yako ya Mbet Tanzania

Ukiwa kwenye tovuti ya kampuni utaona baki lako na kiasi unachoweza kutoa kwenye sehemu ya juu upande wa kulia. Hizo ndizo sehemu zinazofaa kukusaidia kukamilisha operesheni yako ya kutoa pesa zako pale M bet Tanzania.

Ombi la kutoa likisubiriwa litaonekana kwenye sehemu husika baada ya mchezaji kukamilisha hatua zifuatazo:

 1. Jiunge na M bet tz
 2. Fanya malipo ya kuongeza hela kwenye akiba yako
 3. Fanya uchambuzi na uweke dau ili kupata ushindi
 4. Enda kwenye sehemu ya kutoa hela
 5. Jaza kiasi cha pesa unachotaka kutoa
 6. Tuma ombi ili lishughulikiwe upesi iwezekanavyo

Mbali na hayo, unafaa ufahamu kuwa hautahitajika kusema benki unalotumia wakati wa kutoa pesa. Hii ni kwa sababu mbinu iliyotumika kuongeza pesa kwenye akaunti ndiyo pekee inayoweza tumika kutoa ushindi wako. Na hiyo ndio sababu ya wataalamu wetu kusisitiza umuhimu wa wateja kutumia nambari zao rasmi baina ya maelezo mengine wakati wa kujiandikisha.

Kubeti kwa simu ya mkononi na app ya MBet

Matumizi ya simu yamebadili jinsi watu wanaendeleza shughuli za kila siku. Kwa mfano ukizingatia mambo ya biashara kwa sasa yanaendelezwa sana kupitia kwa simu za mkononi. M bet mobile imezinduliwa pia ili kufanikisha nia ya wateja kupata huduma kwa njia ya haraka na iliyo huru. Mteja sasa anahitaji kupata programu ya kampuni ya simu ama kutumia kivinjari kutafuta m-bet.co.tz akiwa pahali popote pale na wakati wowote.

mbet kubeti kwa simu

Wachezaji wanapewa uwezo wa kubeba mitambo na rasilimali za kampuni hii kwenye simu swala ambalo limeleta urahisi wa kubeti. Tumia hatua zifuatazo kuipata programu ya mbet mobile app kwenye simu yako ya Android:

 1. Enda kwenye tovuti ya simu ya kampuni
 2. Bofya maelezo “programu mpya”
 3. Faili za mbet apk zitapakuliwa mara moja na kuhifadhiwa kwenye simu yako
 4. Sasa enda kwenye settings za simu yako
 5. Changua maelezo “security”
 6. Endelea hadi kwenye chaguo la “permissions”
 7. Bofya kitufe cha kukubalia programu zilizopakuliwa nje ya Google PlayStore
 8. Sasa enda uibofye ile faili tuliyopakua hapo mwanzoni
 9. Kwenye sehemu itakayofuata, bofya “Install”

Na hivyo ukitumia hatua hizo tisa unajipa fursa ya kucheza ukitumia mbet app ambayo ni njia ya kipekee ya kubashiri na yenye faida nyingi.

Uainishaji wa soka wa mbet Tanzania

Hivi ni vikundi ambazo kampuni imeweka aina mbalimbali ya chaguzi. Orodha ya uanishaji huu inaonyesha jinsi Mbet tz imejitolea kurahisisha kazi ya wateja wakati wanapotafuta aina za bet wanazotaka. Vitengo vikuu kama utavyovipata kwenye tovuti na app ya kampuni ni:

 1. Mpira wa kawaida ambapo unabashiri kama timu moja itashinda ama mechi itakamilika sare kwa sare
 2. Mpira handicap
 3. Mpira wa dakika 45
 4. Juu/chini ya 2.5 kwenye magoli
 5. Timu zote zitashinda magoli
 6. Mpira wa miguu shufwa witiri
 7. Nafasi mbili

Haina ya chaguzi na migawanyiko ya soka ni mingi katika soko la kandanda pale mbet tz.com na ingekuwa vyema kama ungewatembelea mwenyewe uweze kuona changuzi zitakazokufurahisha.

Ubeti wa moja kwa moja wa Mbet

Jipe fursa ya kushinda na kampuni hii maridadi nchini ata timu yako ikiwa ishaanza kucheza. Mechi zote zinapeana nafasi ya kucheza ata kama tukio lishaanza.

mbet ubeti wa moja

Mbet live betting ni njia moja ya kuaminika ambayo inafanya uchambuzi na ubashiri kuwa rahisi. Ukizingatia kuwa unafanya ubashiri kutokana na matukio live, uwezakano wako kupata chaguzi sahihi upo juu sana.

Conclusion

Ingawa hawana ule ushindani mkali sana, Mbet tz ni kampuni yenye heshima na inayofuata sheria kikamilifu. Wanapatikana pia kwenye soko la ubashiri la Kenya ambako wamepewa leseni pia na kuruhusiwa kutoa huduma zao kulingana na sheria za nchi.

Anza safari yako ya ubashiri leo kwa kutengeza akaunti ya M bet tz na uendelee na operesheni zote muhimu kama tulivyozitaja kwenye mapitio haya.

Maswali

Jinsi ya kuwasiliana na mbet?

Wahudumu wa mbet customer care wanapatika kwa muda wa masaa ishirini na manne. Kuongezea, kuna mbinu mbalimbali za kuwasiliana nao na hizo ni pamoja na:

 1. Live chat
 2. Piga simu kwa 076898870
 3. Tuma barua pepe kwa anwani msaada@m-bet.co.tz

Jinsi ya kucheza mbet?

Jisajiri kwanza, weka hela, fanya uchambuzi wa matukio, chagua bashiri zako alafu mwishowe uliweke dau

Jinsi ya kubadili nenosiri la Mbet?

Enda kwenye sehemu ya kuingia kwenye akaunti, chagua “forgot password” alafu ufuate maagizo waliyokupa pale