Huduma za mCheza zapatikana kupitia kwa mitambo ya simu na tarakilishi huku tovuti yao ikipatika kupitia kwa vifaa vyote ila upakuzi wa programu ukikubaliwa kwa simu aina ya Android pekee. Ili kueleza undani wa m Cheza Tanzania, wataalamu wetu waliuchukua muda wa kutosha kuingiliana na kila kipengele na kukitumia.

mcheza

Kwa hivyo, kaguzi ili la m cheza linakupea ushauri unaofaa na hatua ya kujiunga kwako na kampuni hii maarufu kunafaa kutokana na wosia wako pekee. Ingawaje wachambuzi wengi wa maswala ya kubeti watakusii ujiunge na kuanza kucheza mara moja, husifanye hivyo bila kuendeleza ukaguzi wako mwenyewe. Kabla hatujaendelea kichambua vipengele tofauti vywa mCheza Tanzania, tuna tangazo muhimu:

Twaelewa kwamba kampuni nyingi nchini hazijafikia makadirio na matarajio ya wateja. Lakini, baada ya kuzipimanisha kulingana na huduma, 1xbet Tanzania imeibuka kuongoza kwa maswala yote. Bidhaa tulizotumia kulinganisha kampuni hii na zinginezo kama mCheza tz ni kama vile masoko, teknolojia, operesheni katika simu, na ubora wa vipengele vyote kwa jumla

Mada tulizoghusia kuhusu m Cheza Tanzania

 1. Hatua za kujisajili na kuthibitisha akaunti yako
 2. Kutoa na kuongeza mihela
 3. Zawadi zinazotunukiwa wateja wapya
 4. Bonasi za mCheza tz kwa wabashiri wa spoti
 5. Mpango wa kuzawadi wateja waaminifu
 6. Michezo ya kieletroniki na ile ya spoti
 7. mCheza live betting
 8. Usalama wa platifomu zao
 9. Kuwasiliana na wahudumu wa kampuni
 10. Bashiri ukitumia huduma za mCheza mobile

Jiunge na mCheza Tz

Kuna njia mbili za kujisajili na m Cheza Tanzania na hatua za kila moja ziko kama tulivyoeleza hapa chini

Kujisajili kupitia kwa programu ama kama ifaamikavyo “mcheza mobile app registration”:

 jiunge na mcheza

 1. Anza kwa kupakua programu yao
 2. Fungua programu hiyo. Ukurasa wa kwanza utakupea chaguo tatu; kuingia kwenye akaunti, kuandikisha akaunti mpya, na kuendelea kama mgeni
 3. Chagua kujisajili
 4. Katika sehemu ya kwanza, peana maelezo ya kibinafsi
 5. Bofya kitufe kilichoandikwa “next”
 6. Peana maelezo yaliyosalia kisha utume ombi kwa kubofya “register ”

Jisajili mcheza tz kupitia tovuti.

 jisajili mcheza

Hii ni mbinu inayotumika na wateja wanaotumia wavuti wa kampuni kupitia kwa simu ama kompyuta:

 1. Elekea kwenye tovuti yao rasmi kwa kubofya www.mcheza.co.tz
 2. Tafuta kitufe chenye maelezo “register” ama “Join”
 3. Bofya mojawapo ya sehemu tulizotaja katika hatua ya pili
 4. Peana maelezo yako bila makosa
 5. Tuma ombi na akaunti yako itaundwa upesi

Mbinu za Malipo ya mCheza

Ndiposa ukubaliwe kupata huduma zozote zile za mCheza, lazima ufanye malipo kwanza. Ata katika kampuni zote za ubashiri wateja wanahitajika kuongeza pesa kwenye akaunti zao ili wacheze. La muhimu katika muktadha huu wa malipo ni kuhakikisha kampuni imethibitisha maelezo yako.

Ili kuanza operesheni ya malipo, enda uingie kwenye akaunti yako na uelekee kwenye sehemu ya mCheza deposit. Toka hapo unafaa ufuate maagizo waliyokupea. Benki mbili pekee ndizo zimekubaliwa kutumiwa ili kufanya malipo na hizo ni:

 1. Vodacom M-Pesa
 2. Tigo Pesa

Ili kutoa pesa na kuzipeleka kwenye benki yako, utatumia mbinu tulizotaja baada ya kuchagua sehemu iliyoandikwa “withdraw”

Bonasi kwa wateja wapya wa mCheza

Husikiapo kampuni iliyokomaa na yenye uzoefu mkubwa katika setka ya ubashiri kama vile M-Cheza, wazo la kwanza ni ziada utakazopata. Kwa bahati mbaya, wateja wa kampuni hii hawajapewa fursa ya kufaidi ofa kwa wingi.

Kwa mfano, hawana promosheni ya kukaribisha wateja kwenye platifomu zao tofauti. Ukijiunga na mCheza tz wafaa kuwa na nia ya kucheza tu ili kupata ushindi wa kawaida bila ya kampuni kukuongezea hela. Ata hivyo, wameleta ofa ya spoti ambayo kulingana na mtanzamo wetu iko bado kufikia viwango vinavyowasilishwa na kampuni zingine.

Bonasi za spoti mCheza

Hii ofa yafaamika kwa kimombo kama mCheza accumulator bonus, na ni promosheni inayokuwezesha kushinda asilimia hamsini zaidi (50%) katika dau zilizofikisha idadi ya chaguzi waliyotaja.

 bonasi mcheza

Kanuni kuu humu ni kuwa kila chaguzi linatakiwa kuwa na odd ya 1.5 ama zaidi. Kwa kuongezea, lazima mkeka wako ushinde ndiposa uweze kulipwa kiasi cha bonasi unachostahili kupata. Jedwali ifuatayo inafafanua asilimia ya mCheza bonus utakayopata kulingana na idadi ya mechi ulizochagua:

Idadi ya chaguzi

Asilimia ya mCheza bonus utakayoshinda

Mechi tano

10%

Mechi sita

10%

Chaguzi saba

15%

Mechi nane

20%

Mechi tisa

25%

Mechi kumi

30%

Chaguzi zaidi ya kumi

50%

mCheza VIP

Hawana mipangilio yoyote ya kuwathamini wateja wao waaminifu.

Michezo ya spoti

Ni kweli kwamba mCheza Tanzania wana masoko yote maalumu na idadi kubwa sana ya chaguzi. Lakini, soko lao la spoti haswa katika kitengo cha kandanda ndilo bora zaidi and linavutia wateja wengi.

 michezo ya spoti

Kwa kutumia teknolojia ya kisasa, wameweza kufumbua vipengele vipya kama vile ligi halisi na Esports.Sehemu ya spoti ina michezo kemkem na matukio makuu yanahusiana na:

 1. Kandanda
 2. Mpira wa mikono
 3. Mpira wa kikapu
 4. Mpira wa magongo
 5. Raga
 6. Tenisi
 7. Baseball
 8. Badminton
 9. Kriketi
 10. Biathlon
 11. Hurling
 12. Surfing
 13. Mbio za pikipiki
 14. Mbio za farasi

Ofa ya kubashiri moja kwa moja katika mCHEZA

Hii ni mbinu iliyozinduliwa hivi majuzi na kampuni za kubetia ili kuongeza uwezo wa wateja kushinda. Ingawa mCheza live betting inahusishwa mno na odd ndogo, uwezekano kuwa mchezaji atashinda upo juu.

 katika mcheza

Swala la kukatisha moyo ni tu lile la kukosekana kwa live streams za kuonyesha jinsi mechi inaendelea. Ila hilo si tatizo kwa wateja wengi wa mcheza tz kwani kuna wavuti nyingi zinazotuletea habari hizi muhimu. Kubashiria mechi zinazoendelea kuchezwa kunakubaliwa katika soko la spoti pekee.

Usalama katika mCheza Tanzania

Kampuni hii inaonekana kujali usalama wa maelezo ya wateja wao na ule wa pesa zilizo kwenye akaunti mbalimbali. Wametumia mbinu za kisasa kuhakikisha usalama wako mtandaoni wakati unaendeleza shughuli za ubashiri.

Pia, kanuni na sheria zimeekwa kufahamisha kila mtapeli wa mtandaoni kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa wapatikanapo.

Huduma na msaada kwa wateja

 huduma mcheza

Kuna ule wakati wateja wanaeza pata taabu kutumia rasilimali mbalimbali na hivyo wamechapisha mCheza contacts zifuatazo ili kurahisisha shughuli za kuwasiliana na wataalamu wao:

 1. Live chat
 2. Piga simu ukitumia nambari:+255764701600
 3. Pia waweza watembela katika ofisi zao hapa Dar es Salaam eneo la Mikocheni

mCHEZA kwenye simu ya mkononi

Kubashiri kwa njia ya simu ndilo mbinu pekee litakalokuwezesha kuekeza hela zako bila mahitaji mengi kupindukia. Kwa mfano, utumiapo mCheza mobile, waweza bashiri ukiwa pahali popote na husisahau kuwa simu zapatikana kwa gharama ya chini sana.

 mcheza kwenye simu

Kuna faida nyingi za kutumia platifomu hii ambazo wameongeza kwa kuzidua tolea lipya la mCheza app. Ili kupakua programu hii na uweze kufurahi huduma za kampuni zaidi, fuatilia hatua hizi taratibu:

 1. Ukiwa katika simu yako aina ya Android, bofya hapa
 2. Ukurasa wa kwanza utakuhimiza upakue program
 3. Fanya hima na uweze kupata programu hii
 4. Mwishowe izidue na uifungue ndiposa uanze kuweka mikeka yako

Muhtasari

Kama ulivyo ona, mCheza Tanzania ni kampuni iliyo na hamu ya kukua na kutoa huduma bora. Wamekuwa wakichapisha vipengele vipya mara kwa mara katika juhudi zao za kuwezesha wateja kucheza bila pressure ama tashwishi yoyote.

Maswali

Jinsi ya kubeti m cheza?

 1. Chambua mechi walizokuandalia
 2. Tayarisha mkeka kwa kubofya chaguzi
 3. Weka kiasi cha pesa kitakachotumika
 4. Mwishowe weka dau lako na uyangoje matokeo

mCHEZA inafanya kazi vipi?

Kwa kutuletea michezo ya kubashiri

Ni michezo gani na matukio yanatolewa kwa kubashiri mCHEZA?

Mechi zinapatikana katika vitengo vya spoti, kamare na ligi halisi

Je!mCheza ni tovuti ya kuaminika ya kubeti?

Naam, wanatoa huduma zao katika nchi mbalimbali na hawajakuwa na kasoro yoyote