MAELEKEZO MGUU KWA MGUU JINSI YA KUFUNGUA AKAUNT, KUWEKA NA KUTOA PESA 1XBET.NIRAHISI SANA!

1.Ingia katika ukurasa wa 1xbet.com bonyeza HAPA

itaonekana hvi kwenye simu au computer yako.

 1xbet pesa akaunt

2.Bonyeza REGISTRATION itakuleta hapa

 1xbet bonyeza registration

za country (nchi)i TANZANIA, na curency (fedha ) TZS, Chini ingiza hzo namba za promo codes kama zinavyoonekana kwenye picha, au coppy hizi hapa 1x_199939 utaingiziwa bonasi ya karibu mara 2 kiasi cha fedha utakacho weka kwa mara ya kwanza.Ukimaliza kujaza hapo bonyeza pa kijani chini kabisa REGISTER utakuja hapa.

 1xbet capcha

Huu ni mtihani kutambua wewe ni MTU ama ni robot, Ni swali rahisi unaulzwa na unajibu kwa kuweka TIKI kwenye vibox, maswali nitofauti kila wakati, Mfano picha hiyo hapo juu umeulizwa WEKA TIKI VIBOX VYOTE PANAPOONEKANA ALAMA YA BARABARANI. ukimaliza kugusa vibox ulivyo uliza bonyeza NEXT na moja kwa moja utakuwa umeshafungua akaunt yako, kama hukupatia swali utaletewa tena swali na vibox vingine ,soma swali, gusa vibox sahihi afu bonyeza NEXT kukamilisha usajili

 1xbet akaunt

JINSI YA KUWEKA PESA KWENYE AKAUNTI YAKO ILI UCHEZE

Ukisha fungua akaunt yako ya 1xbet, kinachofuata ni kuweka pesa akaunt yako ili ucheze, Njia za kuweka pesa akaunt ya 1xbet tanzania, zipo 3 muhimi, M PESA, TIGO PESA, NA IARTEL MONEY.

1.UKIWA UPO NDANI YA PROFILE YAKO 1XBET, bonyeza DEPOSIT

 1xbet bonyeza deposit

2.ZITAFUNGUKA NJIA NYINGI ZA JINSI YA KUWEKA PESA, TUFUTA MTANDAO UNAO TUMIA BONYEZA

 1xbet chagua mtandao wako bonyeza

3.MFANO WEWE UNATUMIA TIGO, BONYEZA TIGO

Itakuletea kuingiza namba zako za simu na kiasi unachotaka kufanya muamala.

MUHIMU: ingiza namba zako za simu baada ya +255 (weka namba anzia na 7 hadi mwisho sifuri usiweke, Mfano +2557136778 , andika kibox cha juu kiasi unacho taka kuweka kisha bonyeza CONFIRM tuma utaletewa sms ya maelekezo yenye namba ya kampuni na namba za siri

 1xbet tigo